Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA HAPA NGOMA LIVE YA KISUKUMA MAARUFU "BENI" YA MANJU MATEMBA IGOMWASHU (Video)



Karibu ndugu msomaji wa Malunde1 blog,Fahari ya Shinyanga hususani wewe mpenzi wa nyimbo za asili ambazo mara nyingi tunakuletea mwisho wa wiki..Leo nimekuletea Ngoma ya Kisukuma maarufu kwa jina la Beni kutoka kwa Manju anayejulikana kwa jina la Matemba Igomwashu.Hii ni ngoma iliyochezwa live kutoka uwanjani.

Hii ngoma imechezwa mwaka 2014 katika kijiji cha Itunduru wilaya ya Igunga mkoani Tabora.

 
Kupitia Video hii utapata utamu wote wa ngoma ya kisukuma,utashuhudia namna manju huyu ambaye ni mkazi wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga anavyocheza na kutembea juu ya kamba na kupita kwenye moto,itakuchukua takribani dakika 30 kuona ngoma hii..Tazama hapa chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com