Mbunge wa Mbeya mjini ambaye ni msanii wa kitambo wa hip hop Tanzania Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) aliahidi wiki kadhaa zilizopita kwamba ataachia video yake mpya baada ya kimya kirefu kwenye bongo fleva, hii inaitwa ‘Freedom‘ ikiwa ni kazi ya mikono ya MJ Records.
Ndani wameonekana mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Roma Mkatoliki, Producer Master J na Profesa Jay ambapo Mr. II kaiwakilisha Mbeya vizuri kwa kuvaa jezi ya Mbeya City Football Club pamoja na kofia yenye chata ya Mbeya, ukishaitazama hii video hapa chini usiache kunipatia comment yako mtu wangu

Social Plugin