Video : MSANII MWANIDAKO - UKIMWI


Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mwanidako,wimbo unaitwa Ukimwi umetengenezwa katika studio za Bicon za mjini Kahama mkoani Shinyanga.Kuna ujumbe mzito,wanenguaji nao balaaa



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم