Kawaida ya Malunde1 blog kila mwisho wa wiki huwa tunakuletea nyimbo za asili..Leo tumekusogezea video ya Msanii wa Nyimbo za asili Tani kutoka kijiji cha Maguta wilaya ya Mbogwe mkoani Geita ,wimbo unaitwa Bhuchoji.Ni wimbo uliobeba ujumbe mzito kuhusu "Bhuchoji" (Utafutafutaji wa mali katika maisha".Bonyeza Play Hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin