Video Mpya ya Asili!! Msanii Jemedali,Inaitwa Magufuli,Ni Kali Balaa,Wanenguaji Hawa Noma
Saturday, April 23, 2016
Ninayo ngoma mpya ya msanii wa nyimbo za asili Jemedali,wimbo unaitwa Magufuli,Ni ngoma kali kamwimbia rais John Pombe Magufuli,ujumbe mzuri wanenguaji wake balaa mtupu..
Tazama hapa chini video hii
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin