HII HAPA NGOMA LIVE "MBINA" YA MANJU POLOSHO MYOGELA KUTOKA KAHAMA
Saturday, October 29, 2016
Ni kawaida ya Malunde1 blog kukuletea nyimbo za asili kila weekend,leo tunakuletea Ngoma ya asili kutoka kwa manju maarufu kwa jina la Polosho Myogela kutoka kijiji cha Ng'wambiti kata ya Kashishi wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.Ngoma "Mbina" hii imechezwa Live Uwanjani...Hakika utaifurahia...Ni dakika 20 tu
Tazama Ngoma Hii Hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin