HII HAPA VIDEO YA MSANII WA NYIMBO ZA ASILI BHULEMELA - MWANA MGANGA
Sunday, April 03, 2016
Angalia Video ya wimbo mpya wa msanii Bhulemela anayeimba kwa lughya ya Kisukuma,wimbo unaitwa Mwana Mganga..Ni wimbo mzuri wa ndoa..hakika utaupenda..Video hii imetengenezwa katika studio za Bicon zilizopo mjini Kahama..Angalia hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin