Angalia Picha!! Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akikagua Daraja la Nyerere


Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya awali na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipokagua daraja hilo jana Mei 10, 2016. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akionyeshwa barabara zinazopishana ya juu na ya chini, alipokagua daraja ya Nyerere, Dar es Salaam, jana Mei 10, 2016.


Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiuliza jambo, alipokagua daraja la Nyerere, Dar es Salaam, jana Mei 10, 2016. Kushoto ni Mama Salma Kikwete.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembea kwenye daraja la Nyerere, Dar es Salaam, jana Mei 10, 2016, walipokagua daraja hilo.


Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitazama moja ya ofisi zitakazotumiwa na magari kulipia ushuru wa kutumia daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo jana Mei 10, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم