Balozi Mdogo wa Omani Huko Zanzibar Ali Abdalah Rashid Amefariki Dunia
Wednesday, May 18, 2016
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi seif Ali Iddi na viongozi wa serikali wakiuaga mwili wa Balozi mdogo wa Oman Zanzibar Balozi Ali Al-Rashid aliyefariki jana kwa ugonjwa wa shindikizo la damu,ambapo umesafirishwa leo kwa ndege ya Oman Air ktk uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar saa nane mchana leo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin