Basi la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo.Inaelezwa kuwa ajali hiyo imesababishwa na mwendesha bodaboda kuwa mzembe.
Ajali hiyo imetokea leo katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam.
Dereva wa gari la mwendo kasi amesema mwendesha bodaboda alikatiza wakati taa zikiwa zimeruhusu basi kupita
Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo
Social Plugin