Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Kamati Za Maafa Zaboresha Mpango Wa Kukabiliana Na Maafa Mkoani Shinyanga

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa kujadili na kuboresha rasimu ya Kiswahili ya mpango wa Halmashauri wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa wakifuatilia mada ya Menejimenti ya Maafa kutoka kwa Mratibu wa Maafa wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.John Kiriwai uliofanyika Ukumbi wa Empire Hotel mkoani Shinyanga tarehe 26 Mei, 2016.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kujadili na kuboresha rasimu ya Kiswahili ya mpango wa Halmashauri wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa wakifuatilia Majukumu ya Kamati za Maafa wakati wa mkutano huo katika Ukumbi wa Empire Hotel mkoani Shinyanga tarehe 26 Mei, 2016.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kujadili na kuboresha rasimu ya Kiswahili ya mpango wa Halmashauri wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa wakifuatilia Majukumu ya Kamati za Maafa wakati wa mkutano huo katika Ukumbi wa Empire Hotel mkoani Shinyanga tarehe 26 Mei, 2016.

 
Mkurugenzi wa Utafiti na Mipango Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Naima Mrisho akiwailisha mada ya kukabiliana na maafa wakati wa mkutano wa kujadili na kuboresha rasimu ya Kiswahili ya mpango wa Halmashauri wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa katika Ukumbi wa Empire Hotel  mkoani Shinyanga tarehe 26 Mei, 2016.

Mkurugenzi wa Utafiti na Mipango Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Naima Mrisho (wa pili kulia walio kaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano wa kujadili na kuboresha rasimu ya Kiswahili ya mpango wa Halmashauri wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa mara baada ya ufunguzi wa mkutano huo Mkoani Shinyanga tarehe 26 Mei, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com