Mkurugenzi Aliyetumbuliwa Jipu na Rais Magufuli Afariki Dunia
Saturday, May 21, 2016
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Kabwe amefikwa na mauti akiwa nchini India kwa matibabu. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin