Social Media Administrator wa MultiChoice (DStv) Tanzania, Shumbana Walwa akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam. (Picha na Modewjiblog)
Kampuni ya MultiChoice Tanzania wasambazaji wa bidhaa za DStv nchini usiku wa Mei 26 wameweza kujumuika kwa pamoja katika kusheherekea siku ya Afrika kwa kukutana na wadau wake Jijini Dar es Salaam na kufurahia paamoja fahari ya Afrika.
Wadau hao ni pamoja na wanahabari, Waendesha vipindi vya televisheni na radio, wasanii na baadhi ya wateja ambao walijumuika kwa pamoja usiku maalum ambao pia walipata kula na kunywa pamoja na kubadilishana mwazo.
Awali wakati wa ufunguzi wa hafla hiyo maalum, Meneja Uhusiano na Masoko wa MultiAChoice Tanzania, Bi. Furaha Samalu alieleza kuwa, MultiChoice wanajisikia fahari katika ushiriki wao wa kuleta mabadiliko na maendeleo tangu kuanzishwa hapa Barani Afrika miaka 20 iliyopit huku ldngo kuu ni kuwa na maudhui ya kila siku ya kiafrika.
Aidha, Bi. Furaha Sumalu alibainisha kuwa, kwa kuthamini Afrika, hata chaneli wameweka zinazolenga Afrika zikiwemo: Africa Magic, Maisha Magic Bongo, Maisha Magic East ambapo ndani ya chaneli hizo zimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu Afrika hivyo watanzania na waafrika kwa ujumla ni wakati wa kuchangamkia bidhaa bora za DSTV ilikufurahia uhondo huo wa Kiafrika na mambo mbalimbali yanayotokea ndani ya Afrika na nje ya Afrika.
Meneja wa Fedha wa kampuni ya Multichoice Tanzania, Bw. Francis Senguji akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Meneja Mauzo wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania, Salum Salum akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Mchora vibonzo, Bwana Masoud Kipanya akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Msanii wa muziki bongo fleva Queen Darleen ambaye ni ndugu na msanii wa muziki 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi na mmoja wa mashabiki wake wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Mdau na Mwanahabari Sylvester akipata picha kwenye red Carpet akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Msanii wa muziki bongo fleva Queen Darleen ambaye ni ndugu na msanii wa muziki 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi na Mwandishi Mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Bwana Andrew Chale wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Mshiriki wa Tanzania kwenye Shindano la Big Brother III, Latoya Lyakurya, akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Levina Bandihai wa Multichoice Tanzania akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam
Msanii JB akiwa katika pozi kwenye red Carpet..
Meneja Uhusiano na Masoko wa MultiChoice Tanzania, Bi. Furaha Samalu akifanya mahojiano na mwandishi wa habari wa ITV Vumilia Mwasha
Wadau na staff wa DSTV wakiwa katika pozi.
kikundi cha ngoma cha NIMUJO Edutaiment wakifanya mambo yao katika usiku huo wa Afrika uliondaliwa na DSTV
Msanii Uwoya (kulia) akiwa katika red carpet..
Wadau wa DSTV, wakifuatilia tukio hilo
Burudani za ngoma zikiendelea
Baadhi ya watendaji wakuu wa DSTV wakitambulishwa
Muda wa 'msosi' ulikuwa kama hivyo pichani.
Burudani zilipamba moto zaidi..
Msanii Shilole 'Shishi bebi' akitangaza bahati nasibu ya mshindi w dikoda ya DSTV Exp
Mshiriki wa Tanzania kwenye Shindano la Big Brother III, Latoya Lyakurya, akipokea zawadi ya dikoda ya DSTV
Msanii Richie Richie akimtangaza mshindi wa DSTV
Mwanablog ya Fullshangwe, John Bukuku akishangilia baada ya kutangaza kushinda zawadi ya dikoda ya DSTV
Mwanablog ya Fullshangwe, John Bukuku akipokea dikoda yake
Mke wa msanii Sheta, Leila Yusuph 'Mama Quila' akisoma jina la mshindi
Mmiliki wa mtandao wa Wananchi, Bw. William Malecela 'Lemutuz' akitangaza jina la mshindi
Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo akikabidhi zawadi
Baadhi ya staff wa DSTVOthuman Michuzi wa blog ya Mtaa kwa Mtaa akipokea zawadi yake wakati wa hafla hiyo ya usiku wa Afrika na DSTV.
Wadau wakisakata rhumba.
Wasanii wa kundi la NIMUJO Edutaiment wakicheza ngoma za makabila mbalimbali wakati wa hafla hiyo. (Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog).
Social Plugin