Ngoma Mpya na Kali- Yaleo Kali Kutoka Majita unaitwa Takwimu za Maisha,Ujumbe Mzito,Wanenguaji Wanacheza Juu ya Kichwa cha Mtu


Weekend hii Malunde1 blog inakukutanisha na msanii Yaleo Kali,kupitia wimbo wake huu mpya unaitwa Takwimu ya Maisha..Ni Wimbo wa aina yake,Ujumbe Mzito,wanenguaji wake noma sana..wanacheza juu ya kichwa cha mtu..
Yaleo Kali anaimba kwa Lugha ya Kijita na Kiswahili.Amezaliwa Huko Ukerewe mkoani Mwanza akakulia Musoma,mwenyeji wa Majita  na sasa anaishi Sengerema mkoani Mwanza.Ni video kali sana...Itazame hapa mtu wangu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post