Ngoma Mpya na Kali- Yaleo Kali Kutoka Majita unaitwa Takwimu za Maisha,Ujumbe Mzito,Wanenguaji Wanacheza Juu ya Kichwa cha Mtu
Sunday, May 22, 2016
Weekend hii Malunde1 blog inakukutanisha na msanii Yaleo Kali,kupitia wimbo wake huu mpya unaitwa Takwimu ya Maisha..Ni Wimbo wa aina yake,Ujumbe Mzito,wanenguaji wake noma sana..wanacheza juu ya kichwa cha mtu.. Yaleo Kali anaimba kwa Lugha ya Kijita na Kiswahili.Amezaliwa Huko Ukerewe mkoani Mwanza akakulia Musoma,mwenyeji wa Majita na sasa anaishi Sengerema mkoani Mwanza.Ni video kali sana...Itazame hapa mtu wangu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin