Ngoma Mpya ya Kijita,Kutoka Kwa Msanii Yaleo Kali-Inaitwa Nitaishi Vipi,Itazame Hapa
Saturday, May 21, 2016
Ninayo hapa video nyingine mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Yaleo Kali anayeimba kwa lugha ya Kijita na Kiswahili inaitwa Nitaishi Vipi..Itazame hapa mtu wangu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin