Ni kawaida ya Malunde1 blog kukuletea nyimbo za asili kila weekend..Leo tunakukutanisha na msanii Jamlotende wimbo unaitwa "Bhochoji".Ni wimbo mzuri hakika utaupenda...
Bonyeza Play hapa chini kuangalia Video hii
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin