Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Ninayo Hapa Video Mpya Nyingine ya Bhudagala Mwana Malonja- Inaitwa Mwana Ndauli,Mzuri Haswaa




Malunde1 blog ni kisima cha nyimbo za asili...Leo Mei 30,2016 tumekuletea Video mpya ya msanii maarufu wa nyimbo za asili wa kabila la Kisukuma kutoka kanda ya Ziwa nchini Tanzania .Bhudagala Mwana Malonja anatoka Serengeti mkoa wa Mara.Wimbo unaitwa Mwana Ndauli,anazungumzia maisha ya jela
upo katika Albamu yake mpya 2016 inaitwa "Kishimbe"..Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com