Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha!! Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana Na Watanzania Waishio Zambia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Zambia kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Lusaka Mei 24, 2016. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- ADB uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Watanzania waishio Zambia wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakatia lipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Lusaka. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com