Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Rais Magufuli: Watumishi Hewa Wamefika 10,295

 
Idadi wa watumishi hewa nchini imeendelea kuongezeka ambapo takwimu za jana zinaonyesha kuwepo kwa watumishi hewa 10,295


Akizungumza leo wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr John Pombe Magufuli amesema kati ya watumishi hao hewa, 8,373 wanatoka Tamisemi na watumishi 1.922 wanatoka serikali kuu.


Amesema watumishi hao walikuwa wakiligharimu taifa sh. Bilioni 11.6 kwa mwezi sawa na Bilioni 139 kwa mwaka.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com