Sikiliza na Download Wimbo Mpya wa Msanii wa Nyimbo za Asili Bhudagala Mwanamalonja- "Mwanandauli"
Saturday, May 07, 2016
Msanii nguli wa nyimbo za asili kutoka Kanda ya Ziwa Bhudagala Mwanamalonja weekend hii ametualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa "Mwanandauli".Ameiambia Malunde1 blog kuwa Video ya wimbo huu itatoka hivi karibuni.Sikiliza wimbo hapa chini,pia unaweza kudownload mtu wangu
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin