Mkali wa bongo fleva Alikiba Mei 12 jina lake limegonga tena headlines baada ya wimbo wake mpya ‘Aje’ kuvuja lakini habari zinaeleza kuwa video ya wimbo huo mpya wa Alikiba aliomshirikisha rapper kutoka Nigeria M.I utaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base Ijumaa ya Mei 13 2016 ila audio yake imesambaa mitandaoni kwa maana ya kuvuja unaweza kuisikiliza hapa mtu wangu
Social Plugin