Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF ) ni
Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga.
Asasi hii inajishughulisha
na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo Utafiti,Utetezi wa Haki za
Binadamu,Kutoa Elimu ya Uraia,kutoa msaada kwa makundi mbalimbali wakiwemo watoto
wanaoishi katika Mazingira Magumu/Hatarishi,Yatima,wajane,Wazee pamoja na Mazingira.
Mkurugenzi wa Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF
) yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga anatangaza nafasi za
Kazi zifuatazo:
1.
Mtaalamu wa kuandika andiko la Mradi
(Proposal)
2.
Meneja Mradi,(Project Manager )
3.
Mtaalamu wa Kompyuta ( Computer IT )
Sifa:
1.
Mwombaji awe ni Raia wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
2.
Awe Tayari kujitolea.
3.
Awe na Uzoefu usiopungua miaka mitatu
akiwa ameajiriwa na taasisi za Umma/Binafsi.
4.
Awe mwaminifu.
Kwa Maelezo zaidi
wasiliana na:
Antony Johnson
+255 762 117 117
+255 785 118 118
Email: sndfoundation@ymail.com
Social Plugin