Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tazama Hapa Video ya Dakika 7 Ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu Swali Huku Amelewa Bungeni

 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John P. Magufuli jana alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.



==>Hapa chini kuna Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri huyo akijibu swali huku amelewa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com