Tazama Hapa Video ya Msanii wa Nyimbo za Asili,Malingita,Wimbo unaitwa "Matoleo Ga Mitwe"
Saturday, May 28, 2016
Kama kawaida ya Malunde1 blog kila weekend huwa inakuletea nyimbo za asili,leo nakukutanisha na msanii wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma,Malingita kutoka Kahama mkoani Shinyanga,wimbo unaitwa "Matoleo Ga Mitwe"..Tazama video hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin