Tazama Video Mpya ya Bhudagala Mwana Malonja- Inaitwa ROSE..Kali Balaa,Yumo Msanii wa FUTUHI
Monday, May 30, 2016
Leo Mei 30,2016 Malunde1 blog inakusogezea Video mpya ya msanii maarufu/manju wa nyimbo za asili wa kabila la Kisukuma kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoa wa Mara.Wimbo Rose upo katika Albamu yake mpya 2016 inaitwa "Kishimbe"..Tazama hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin