TAZAMA VIDEO YA MANJU WA KISUKUMA "ITENDELE MCHENYA" -INAITWA HARUSI YA MZEE HESA MAKENZA,NI KALI BALAA
Saturday, October 29, 2016
Ni Weekend Nyingine Mpenzi Msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa Nyimbo za Asili tunakutana kwa ajili ya kupeana nyimbo za asili..Leo Nakukutanisha na Manju Itendele Mchenya anayeimba kwa kutumia lugha ya Kisukuma..Wimbo Unaitwa Harusi ya Mzee Hesa Makenza..Ameamua Kutunga wimbo kwa ajili ya wanandoa ...Ni Video nzuri iliyobeba ujumbe mzuri Tazama Video Hii Hapa Chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin