Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wajita Mpoo?? Tazama Hapa Video Mpya ya Msanii Yaleo Kali -Inaitwa Maisha Ni Kitendawili



Wimbo Unaitwa Maisha ni Kitendawili Kutoka Kwa Msanii wa Nyimbo za asili Yaleo Kali..anayeimba kwa Lugha ya Kijita na Kiswahili.Yaleo Kali Amezaliwa Huko Ukerewe mkoani Mwanza akakulia Musoma mkoani Mara na sasa anaishi Sengerema mkoani Mwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com