Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wajita Shikamoo!! Hii Hapa Video ya Yaleo Kali,Inaitwa Jing'wena,Ni Nzuri Haswaa


Wimbo Unaitwa Jing'wena Kutoka Kwa Msanii wa Nyimbo za asili Yaleo  Kali anayeimba kwa Lugha ya Kijita na Kiswahili.Yaleo Kali Amezaliwa Huko Ukerewe mkoani Mwanza akakulia Musoma mkoani Mara na sasa anaishi Sengerema mkoani Mwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com