Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' jana jioni Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam baada ya mchezo dhidi ya Ndanda FC uliomalizika kwa sare ya 2-2
Wachezaji wa Yanga wakifurahia na Kombe lao Uwanja wa Taifa
Wachezaji wa Yanga wakifurahia na Kombe lao Uwanja wa Taifa
Social Plugin