Kikosi cha wachezaji 23 wa timu ya taifa ya England kimewasili Paris Ufaransa mchana wa leo Juni 6, 2016 kwa ajili ya michuano ya Euro 2016, England imeondoka Luton asubuhi na kuwasili Paris Airport-Le Bourget mchana wa leo June 6 2016, England itacheza mchezo wake wa ufunguzi wa Euro 2016 Jumamosi dhidi ya Urusi.
Social Plugin