Mwenyekiti mpya wa Stand United Dkt. Ellyson Maeja akizungumza baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa klabu hiyo |
Hawa ndiyo Viongozi wa Klabu ya Stand United (CHAMA LA WANA) ya mjini Shinyanga waliochaguliwa leo katika uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti- Dkt. Ellyson Maeja
Makamu Mwenyekiti-Richard Luhende
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji:
1. Francisco Magoti
2. Geofrey Tibakyenda
3. Jackline Burahi
4. Twahil Njoki
5. Mariam Richard
Social Plugin