Sikiliza na Download Wimbo Mpya wa Msanii Magenhiro-Wimbo Unaitwa "Nhola",Ni Ngoma Kali Balaa ya Kisukuma
Saturday, June 25, 2016
Kama kawaida yetu weekend zote huwa tunawasogezea nyimbo za asili...Leo ninao wimbo wa msanii wa nyimbo za asili kutoka Shinyanga anaitwa Magenhiro..wimbo unaitwa "Nhola".Nhola ni neno la Kisukuma lenye maana ya "Kuoa"
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin