Sikiliza na Download Wimbo wa Papa Wemba Ft Diamond Platnumz,Umeachiwa Leo Juni 24, 2016
Friday, June 24, 2016
Legend wa muziki wa dansi Afrika Papa Wemba daima hawezi kusahaulika, licha ya kuwa tayari alishatangulia mbele za haki, Diamond Platnumz ni moja kati ya wasanii waliopata bahati ya kufanya wimbo na Papa Wemba miezi michache kabla ya kufariki, wimbo wao umetoka leo Papa Wemba ft Diamond ‘Chacun Pour Soi’
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin