Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tazama Video ya Mama Ushauri Kutoka Tinde Unaitwa- "Baba Jeni"



Ni weekend nyingine mpenzi msomaji wa Malunde1 blog,tunakutana katika kipengele chetu cha nyimbo asili..Nakukaribisha uangalie Video ya Msanii Mama Ushauri anayeimba kwa lugha ya Kisukuma na Kiswahili,wimbo unaitwa Baba Jeni..Ni wimbo mzuri unaohusu changamoto wanazopitia wanandoa..Utazame hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com