Tazama Video ya Asili Inaitwa Machozi ya Simba Kutoka Kwa Msanii Maige Singu


Weekend hii nimesogezea video ya Msanii wa nyimbo za asili Maige Singu kutoka Magu mkoani Mwanza anayeimba kwa lugha ya Kisukuma ,wimbo unaitwa Machozi ya Simba..Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post