Tazama Video ya Msanii Kike wa Nyimbo za Asili Nyankole wimbo unaitwa "Ibhuba"




Tazama video ya msanii wa kike wa nyimbo za asili Nyankole kutoka Kahama mkoani Shinyanga..wimbo unaitwa "Ibhuba",Ibhuba ni neno la Kisukuma lenye maana ya Wivu..Tazama Video hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post