Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video : Highlights na Goli la Mechi ya MO Bejaia vs Yanga June 20, Full Time 1-0

Usiku wa June 20 2016 Dar es Salaam Young Africans walikuwa Algeria kucheza mchezo wao wa kwanza wa Kundi A wa hatua ya nane bora dhidi ya wenyeji wao MO Bejaia, katika mchezo huo Yanga walifungwa na MO Bejaia kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Armando Sadiku dakika ya 20

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com