Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wahaya Mpoo!!? Tazama Video ya Msanii Saida Kalori - Wimbo Unaitwa "Sendema"



Ni kawaida ya Malunde1 blog kukusogezea nyimbo za asili kila mwisho wa wiki...Leo nakukutanisha na Mwana Mama Saida Kalori kutoka Bukoba ambaye huimba kwa lugha ya Kihaya..Ninao wimbo unaitwa Sendema...Utazame hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com