Wasukuma Mpoo?? Tazama Video ya Msanii "Sura Mbaya" Kutoka Kahama,Inaitwa "Manamba"
Saturday, June 11, 2016
Habari za weekend mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo Nakukutanisha na Msanii wa Nyimbo za asili anaitwa "Sura Mbaya" kutoka Kaham mkoa wa Shinyanga,wimbo unaitwa Manamba..Ni video ya asili haswaa ameicheza kama Makhirikhiri..itazame hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin