Sayansi na teknolojia inazidi kukua kwa kasi na katika pitapita zangu leo nimekutana habari ya boti za solar . Boti hizi kutumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar Power) katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani,Ufaransa, Australia, Ujerumani, India na Uswiss.
Nimekuletea na picha kabisa ujionee mwenyewe
1. Boti hii inayotumika Uswiss
2. Boti hizi zinatumika Australia
3. Boti hizi zinatumika Marekani
4. Boti hii inayotumika India
5. Boti hii iliotengenezwa na wajerumani na planet solar company ni boti kubwa Duniani yenye uwezo mkubwa wa solar power na sehemu ya juu imefunikwa na vipande vya solar.
6. Boti hizi zinatumika kama boti za mashindano Ufaransa
Social Plugin