Mtoto Apandikizwa Pua Mpya India Baada ya Kuugua Ugonjwa wa Homa ya Kichomi



Madaktari nchini India wamepandikiza pua mpya katika uso wa mvulana wa miaka 12 iliyokuwa imemea katika paa lake la uso.

Pua ya Arun Patel iliharibika alipougua ugonjwa wa homa ya kichomi

Maambukizi hayo yaliharibu pua yake akiwa mtoto mdogo.

Upandikizaji kama huo ulifanywa nchini China mwaka 2013 ambapo mtu mmoja ambaye aliharibu pua yake katika ajali alipewa pua mpya.

Wazazi wa Arun walimchukua na kumpeleka katika daktari mwengine katika kijiji cha jimbo la kati la Madhya Pradesh ambapo aliugua kichomi mda mfupi baada ya kuzaliwa.



Lakini matibabu aliyopewa yaliongeza hali yake na hivyobasi kupoteza pua yake.

Miaka kadhaa baadaye,kundi moja la madaktari katika mji wa Indore liliamua kufanya upasuaji usiokuwa wa kawaida ambapo Arun alipata pua mpya.
 
Via>>BBC

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post