Picha!! Kutana na Hoteli ya Kuvutia Inayoelewa Juu ya Maji Huko Paris Nchini Ufaransa
Friday, July 22, 2016
Paris ni mji maarufu duniani ukiwa na vivutio mbalimbali na umeshika nafasi za juu katika ya miji inayovutia zaidi Duniani, katika mji wa Paris nchini Ufaransa kwenye mto Seine imezinduliwa hoteli inayoelewa juu ya maji na inatoa huduma za kisasa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin