Tazama Video Mpya ya Darassa inaitwa Too Much..Ndani Yumo Shilole, Lina na Wengine
Saturday, July 16, 2016
Rapper wa Bongo Fleva, Darassa anayetamba na wimbo uitwao Kama Utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko , leo Julai 16, 2016 ameachia rasmi video yake mpya iitwayo Too Much imetayarishwa na director Hanscana.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin