Tazama Video Mpya ya Msanii wa Nyimbo za Asili Maduhu Kalegi- Inaitwa Dusomishagi
Saturday, July 23, 2016
Kila weekend Malunde1 bog huwa inakusogezea nyimbo za asili...Tumia dakika chache kutazama video hii mpya ya msanii Maduhu Kalegi inaitwa Dusomishagi imetengenezwa BFaster Production ya mkoani Simiyu.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin