Video!! Ngoma Mpya ya Asili Kutoka Kwa Ng'wana Kalemela Kutoka Tabora- Inaitwa "Namulile"
Saturday, July 23, 2016
Ni kawaida ya Malunde1 blog kukusogezea nyimbo za asili kila mwisho wa wiki..Leo tunakukutanisha na msanii Ng'wana Kalemela kutoka Tabora wimbo unaitwa Namulile.Shuhudia ngoma hii kali ya asili iliyobeba vionjo vya aina yake vya asili.Video hii imetengenezwa Makula Studio.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin