Baada ya
ukuachia wimbo wake uitwao Waniumiza, Msanii Trizah B kutoka nchini Kenya
ametualika kutazama video yake mpya inaitwa "Tulia". Video hii kali
iliyopo katika mtindo wa chakacha imeandaliwa katika studio za Kibali Pictures zilizopo
jijini Nairobi,Kenya.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin