Hatimaye Azam wamekata uteja dhidi ya Yanga katika kuwania Ngao ya Jamii baada ya kuishinda kwa mara ya kwanza katika kipindi cha misimu mitatu waliyokutana kwenye Ngao ya Jamii.
Azam wameifunga Yanga kwa penati 4-1 baada ya sare kufungana magoli 2-2 ndani ya dakika 90 za mchezo huo ambao moja kwa moja ulikwenda kwenye changamoto ya mikwaju ya penati baada ya dakika 90.
Social Plugin