Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Mtanzania Alfonce Simbu Aandika Historia ya Olimpiki Brazil

Baada ya wenyeji wa michuano ya Olympic Brazil kushinda medali ya dhahabu kwa mara ya kwanza katika historia kwa mchezo wa soka, leo Agosti 21, 2016 mtanzania Alphonce Simbu ameingia kwenye headlines.

Mtanzania Alphonce Simbu ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kumaliza mbio ndefu yaani marathon kwa kushika nafasi ya tano kati ya washiriki wa nchi 200 walioshiriki mbio hizo, Alphonce hajafanikiwa kushinda medali ya dhahabu ila ndiyo mtanzania aliyefanya vizuri katika riadha kwenye mashindano ya Rio2016 Olympic.


Mwanariadha Alphonce Felix

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com