Ngoma Mpya ya Asili : Ng'wana Ishudu Inaitwa Harusi ya Mzee Dotto Masengwa
Sunday, August 14, 2016
Malunde1 blog kila weekend hukuletea nyimbo za asili...leo tunakukutanisha na msanii kutoka Shinyanga Vijijini Ng'wana Ishudu anayetokea Nyida wimbo unaitwa Harusi ya Mzee Dotto Masengwa...Ngoma nzuri ya harusi ya ndoa..itazame hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin